F2 Florida Sip & Grill
📍 : Msamvu Roundabout – Morogoro
🍽️ Huduma ya Chakula
Karibu mahali ambapo ladha bora, mazingira tulivu, na huduma ya kiwango cha juu
🍽️ Tunatoa:
✔️ Chakula kitamu na cha kisasa
✔️ Vinywaji mbalimbali vya baridi na moto
✔️ Mazingira tulivu & salama
✔️ VIP Lounge kwa wageni maalum
✔️ Huduma safi, ya haraka na yenye tabasamu
🕒 Tuna fungua kila siku – njoo ukiwa solo, na marafiki au familia. Tunakuhakikishia experience ya kipekee kila mara.
Welcome to F2 Florida Sip & Grill
Aina Mbali Mbali za Vinywaji
🎶 Burudani ya Kipekee katika F2 Florida Sip & Grill
Katika F2 Florida Sip & Grill, tunahakikisha wageni wetu wanapata zaidi ya chakula na vinywaji — wanapata uzoefu wa burudani wa kiwango cha juu.
Muziki wa Moja kwa Moja:
Tunakuletea burudani ya moja kwa moja kutoka kwa wasanii na bendi mahiri, ikichangia kuunda mazingira yenye nishati, uhai na hisia za kipekee kila unapotuambia.
DJ Sessions za Kipekee:
Ma-DJ wetu waliobobea hutupia muziki wa kisasa na wa asili, kuanzia beats za kidunia hadi classics.




